Wednesday, January 12, 2011

Ndugu wanaukombozi Tunaomba mawazo yenu (Note: kwa wale vibaraka wa ccm hatuhitaji mawazo yenu)

Ndugu wanaukombozi:
  1. TUANZE RASMI KUIFICHUA HII SERIKALI NA MAOVU YAKE, kila ovu unalolijua weka kwenye blog hii
  2. TUJIUNGE NA MTANDAO HUU ILI TUWEZEJUA IDADI YA WANAHARAKATI - LENGO NI KUWA NA WANAHARAKATI WANAZUONI MILIONI MOJA, HIVYO TUTAWAPOKONYA VIONGOZI WABOVU MADARAKA
  3. KILA MWANAHARAKATI MMOJA ATASHAWISHI ANGALAU WATU KUMI KUACHANA NA HUU TAWALA MMBOVU WA CCM - 1,000,000 X 10 = 10,000,000 then ccm has gone!
  4. Kila baada ya miezi sita tutafanya mkutano wa wanaharakati
TUNAOMBA MAWAZO ZAIDI JINSI YA KUIPOKONYA MADARAKA KWA HII SERIKALI YA KIFISADI - Email: